Dar es Salaam. Kama kuku wangelikuwa wanaongea, hakika wangelikuwa wanapiga umbea wa aina yake kutokana na wingi wao hasa wakiwa bandani.

Banda hilo ambalo limesheheni kuku wa rangi nyeupe, wakubwa kwa wadogo waliotengenishwa kulingana na umri. Hakika sauti zao zitakuvutia kwa vile walivyo wachangamfu. Ufugaji wa kuku wa Grace ni wa kibiashara zaidi ambapo amewekeza kufuga kuku wa nyama. Grace ni miongoni mwa wanawake na vijana wengi ambao wameamua kuachana na utegemezi na kuamua kutumia fursa za ufugaji wa kuku Tanzania ili kuboresha maisha yao na familia zao.

WAZIRI KALEMANI ATOA MAAGIZO MAZITO KWA WAKANDARASI WA UMEME VIJIJINI

Hiyo ni sawa na kusema kwa kila kuku 10 wanaofugwa Tanzania basi tisa ni wa kienyeji ambao hutumika kama kitoweo cha familia. Licha ya kuwa kuku wengi wanaofugwa katika mazingira ya asili, bado wafugaji kama Grace wao wameamua kufuga katika mazingira rasmi ambapo wanafuga kuku wa kisasa maalum kwa nyama na mayai Broilers and Layers kibiashara.

Kuku wa mayai walifikia milioni 1. Kutokana na uzalishaji mdogo wa kuku wa kisasa, vijana wana fursa ya kuwekeza zaidi katika ufugaji huo ili kujiajiri na kujipatia kipato kuendesha maisha.

Kuku hawa hawana mama hivyo ni jukumu lamfugaji kuweka mazingira ya kuwatunza. Picha fugakuku. Fursa iko wapi? Tasnia hiyo ya ufugaji ina manufaa mengi. Je, ni kwa namna gani mtu anaweza kuwekeza kwenye ufugaji huu? Mshauri wa wafugaji ambaye pia ni daktari wa mifugo kutoka kampuni ya Bytrade Tanzania Limited Dk Christowelu Zephania amesema ufugaji wa kuku ni kati ya sekta ambazo haziwezi kukutoa machozi endapo utakuwa umejipanga vizuri.

Mtaalamu huyo amesema kabla ya kuanza, unatakiwa kufahamu unahitaji pesa yako irudi kwa muda gani. Kama unahitaji kurudisha pesa yako kwa haraka, ni vizuri ukafuga kuku wa nyama kwani wanakuwa tayari kwa mwezi mmoja tu. Kwa kawaida, mtaji wa huanzia Sh4. Hata hivyo, mtu anaweza kufuga idadi anayotaka kulingana na mtaji wake.

Kama una shughuli zingine, unaweza ukaajiri mtu kwani wanahitaji matunzo. Amesema ili kurahisisha ni vema kukodisha banda ambalo lina kila kitu vikiwemo vifaa vya joto na vyombo.

matumizi madogo ya umeme 2020

Siyo lazima ufuge kuku 1, tu, endapo una pesa zaidi, unaweza kufuga kuku zaidi kwani kwa mujibu wa mshauri huyo aliye kwenye fani hiyo kwa zaidi ya miaka 10 wapo watu wanaofuga kuku zaidi ya 30, na maisha yao yamebadilika kutokana na kazi hiyo.

Kwa upande wa kuku wa mayai, Christowelu amesema uwekezaji kwenye mradi huu hauhitaji mtu mwenye haraka kwani unachukua walau miezi sita ili kuanza kukulipa. Kwa mtaji wa Sh4. Changamoto za kufuga kuku hao. Christowelu amesema kwa kwaida, ili mradi wowote wa ufugaji wa kuku wa kisasa wa nyama au mayai ulipe unahitaji kuwa na uhakika wa pesa ya mradi huo kabla hata ya kuanza ufugaji wako. Hata hivyo, baadhi ya watu wanaona ufugaji wa kuku wa kisasa ni mgumu na haulipi kwa sababu wanakosa miongozo na ushauri mzuri wa ufugaji wa kuku hao ambao wanahitaji matunzo kama ya binadamu.

Kwa mujibu wa maelezo ya Mtaalamu Christowelu, ufugaji wa kuku wa nyama ni rahisi zaidi kwani unachukua muda mfupi na hata gharama yake ipo chini ikilinganishwa na ufugaji wa kuku wengine wakiwemo wa mayai na hata chotara. Je, Unahitaji nini kufuga kuku wa nyama?

Israel Habimana: Raia wa Rwanda aliyeuza mali yake kutengeneza bwawa la umeme kwa wanakijiji

Fuatilia sehemu ya pili ya makala hii kufahamu hayo na mengine mengi. Licha ya kuwa kuku wana faida nyingi, bado Watanzania wengi wanafuga kuku wa asili kwa ajili ya kitoweo nakukidhi mahitaji madogo madogo ya familia.

Waliowekeza fedha zao katika ufugaji wa kuku wa kisasa waeleza maisha yao yalivyobadilika. Wengi wanashindwa kufuga kuku wa kisasa kwa sababu hawajajipanga. Changamoto za kufuga kuku hao Christowelu amesema kwa kwaida, ili mradi wowote wa ufugaji wa kuku wa kisasa wa nyama au mayai ulipe unahitaji kuwa na uhakika wa pesa ya mradi huo kabla hata ya kuanza ufugaji wako.Tanzanian blog operating sincecovering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide.

Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers. Kuwa mstaarabu Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar Hassan Ali Mbarouk amesema kuwepo kwa tatizo la umeme mdogo katika baadhi ya maeneo ya mji wa Zanzibar yanatokana na ongezeko la watumiaji pamoja na ujenzi holela.

Ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake huko Gulioni Mjini Unguja kuhusiana na mafanikio na changamoto zinazoikabili shirika hilo. Amesema Shirika hilo linachukua jitihada ya kufunga mashine kubwa transfoma katika maeneo hayo ili kuweza kukidhi mahitaji ya matumizi na kuondosha usumbufu kwa wananchi. Meneja huyo amefahamisha kuwa shirika hilo linakabiliwa na changamoto ya wizi wa mita, umeme, baadhi wananchi na mashirika kutolipa madeni kwa wakati na utapeli unaofanywa na baadhi watu kujifanya watumishi wa shirika hilo kwa lengo la kuiba na kupelekea kulitia hasara shirika.

Mshirikishe mwenzako:. Michuzi Blog Tanzanian blog operating sincecovering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Subscribe to: Post Comments Atom.Hivi ni viunganisho vya nje na vitafungua katika dirisha mpya.

Shughuli ya usambazaji nishati ya umeme katika mataifa yanayoendelea bado ni changamoto kubwa hususan maeneo ya vijijini. Rwanda ni miongoni mwa mataifa hayo ingawa takwimu zinasema kuwa asilimia 52 ya wakazi wake wanahuduma ya umeme wengi wao wakiwa wakaazi wa maeneo ya mijini. Bwana Israel Habimana aliweza kutengeneza bwawa dogo la umeme na kusambazia vijiji vinavyomzunguka eneo la mashariki mwa Rwanda kulingana na mwandishi wa BBC, Yves Bucyana.

Hili bwawa dogo lina uwezo wa kutoa kilowati 13 lakini pia utafiti niliofanya baadae niligundua kwamba zinaweza kuongezeka hadi kilowati 23 ingawa itategemea kama nitapata udhamini'' amesema Habimana.

TAIFALANGU - Namna ya kupunguza gharama za matumizi ya umeme

Israel Habimana alitengenza bwawa dogo la umeme na kusambazia huduma hiyo familia zipatazo za vijiji vinavyomzunguka wilayani Kirehe mashariki mwa Rwanda. Ukiangalia katika mtambo huu unaona mabadiliko ya kiwango cha matumizi ya nishati''.

matumizi madogo ya umeme 2020

Kinachotumika kubaini kiwango cha umeme unaohitajika ni sauti ya mashine na inapobadilika inamaanisha kwamba tayari wananchi wameanza kutumia kiwango kikubwa cha umeme na fundi anayekuwepo huongeza hadi kiwango kinachohitajka na wananchi. Licha ya hayo, Bwana Israel hakusomea taaluma hiyo kwani anavyosema mwenyewe alikomea katika elimu ya msingi. Hata hivyo anasema aliandaliwa warsha maalum ya miezi kadhaa na shirika la nishati kuhusu utengenezaji wa mabwawa madogo ya umeme.

Israel Habimana ameiambia BBC kwamba alianza mradi wake mnamo mwaka na kumgharimu franga milioni 48 sawa na dolla zaidi ya elfu Mwanzoni wananchi wengi walimuona kama kichaa kwani alilazimika kuuza mali yake yote ikiwemo mashamba, nyumba na gari na isitoshe bado anadaiwa na wananchi pesa nyingi.

Ila pamoja na hayo Bwana Habimana hajahisi kupata hasara yoyote. Sasa imetimia na sina shaka matunda yako mbele. Ni kweli mwanzoni watu waliniona kama kichaa lakini sasa najisikia fahari mno nikiwa na matarajio ya kuwa pole pole nitaanza kukusanya mapato kwa maslahi yangu. Na kizazi changu kitanufaika na mapato hayo ambapo nitakuwa nikikusanya kiasi cha asilimia 57 ya makusanyo ya malipo ya nishati iliyotumiwa na wananchi.

Lakini vipi wananchi kama vile wanaofanya kazi ya karakana wameanza kunufaika na huduma hii ya nishati?

Sindikubwabo umubaji fundi wa karakana moja anasema, ''mimi ni fundi seremala. Natumia nishati kwa kuwasha taa, kusikiliza redio na kuchaji simu, hayo ndiyo matumizi yangu nyumbani. Lakini mradi mkubwa ni huu wa useramara. Karibu vijiji vyote 10 majirani wanategemea karakana yangu na mimi huingiza pesa. Kila mwananchi mwenye umeme anatakiwa kulipa faranga elfu mbili kwa wakati huu wakiwa hawajapewa mtambo wa kuhesabu kiwango cha nishati kilichotumiwa. Israel Habimana anasema kwamba ameshapata idhini kutoka kwa serikali kumruhusu kusambaza zaidi umeme huo katika vijiji vingine viwili vyenye wakaazi zaidi ya na hivyo kuanza kupata faida.

Mamala ya nishati ya Rwanda inasema kuwa watu walio na umeme ni zaidi ya milioni 1. Habari Michezo Video Vipindi vya Redio. Israel Habimana: Raia wa Rwanda aliyeuza mali yake kutengeneza bwawa la umeme kwa wanakijiji 26 Februari Image caption Mtambo unatumika kuzalisha umeme Shughuli ya usambazaji nishati ya umeme katika mataifa yanayoendelea bado ni changamoto kubwa hususan maeneo ya vijijini.

Rejea mwanzo wa ukurasa.Dar es Salaam. Akizungumza baada ya kikao hicho, Rais Magufuli amesema baada ya kufanya uamuzi huo Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango atawasilisha marekebisho madogo ya sheria ya VAT, sura ya kupitia sheria ya fedha ya mwaka ili umeme unaouzwa Tanzania Zanzibar utozwe VAT kwa kiwango cha asilimia sifuri.

Naye Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema pamoja kuridhia utozaji wa VAT kwa kiwango cha asilimia sifuri, Baraza la Mawaziri pia limekubaliana Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan ataitisha vikao vya kuzungumzia masuala ya Muungano kila mara kunapokuwa na hoja ya masuala ya Muungano ili kujadili na kutoa uamuzi.

Kairuki ameapishwa kabla ya kuanza kwa kikao cha Baraza la Mawaziri, kufuatia mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri yaliyofanywa Januari 8 mwaka huu ambapo Kairuki aliyekuwa Waziri wa Madini aliteuliwa kuwa waziri wa nchi, ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji.

Mwanzo Habari Kitaifa. Pia Soma. Lema amlipua Dk Kigwangala bungeni Tanzania yatangaza wagonjwa wapya 29 wa corona Takukuru yaokoa ShPengine umewahi kujiuliza au hata kushangaa kwanini wewe na jirani yako au mtu mwingine mkinunua umeme kwa gharama sawa, mnapata ujazo units tofauti.

Hii inaweza kuwa kwa mfano wote mkinunua umeme wa TZS 5, yeye anapata units 41, wakati wewe unapata units 14 tu, au umeme wa TZS 10, yeye anapata units 75, angali wewe unapata units Ukweli ni kwamba, bei ya umeme inatofautiana kutokana na kundi la matumizi mteja alilopo mfano Matumizi Madogo ya nyumbani D1 ambao wanatumia umeme wa majumbani ambao matumizi yao ni wastani wa KWh units 75 kwa mwezi wananunua umeme uniti moja kwa TZS bila kodi endapo watazidi hapo kila unit watatozwa TZS bila kodi.

Lakini wateja wa kundi la matumizi ya kawaida T1 hujumuisha wateja wenye matumizi ya kawaida ya umeme hususani watumiaji majumbani, biashara na viwanda vidogo, taa za barabarani na mabango. Hawa wananunua umeme unit moja TZS bila kodikundi hili linatumia kuazia units kwa mwezi. Hivyo kutofautiana kwa kundi la matumizi ndicho kinachopelekea wateja kupata units tofauti kwa kiasi kile kile cha fedha.

Hivyo endapo matumizi yako ya nyumbani hayazidi units 75 kwa mwezi, unaweza kwenda TANESCO kuomba kupunguziwa matumizi ya gharama za umeme yaani kushushwa tarifu kutoka tarifu 1 kwenda tarifu 4, ambayo itakuwezesha kupata units nyingi zaidi kwa gharama kidogo. Shule 10 zenye ada ghali zaidi Tanzania.

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania. Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha 5 na vyuo vya ufundi Magazeti ya Tanzania leo Jumanne Juni 4.

Swahili Times. December 28, Related Articles. Mambo matano yakuepuka katika malezi ya watoto. Tufanye yafuatayo ili kuvuna matunda ya uchumi wa kidijitali. Serikali inatekeleza ajenda za upinzani- Prof.Dar es Salaam.

Umeunganishwa na umeme wa gridi ya Taifa katika nyumba yako? Lakini bado una maswali mengi yaliyokosa majibu kuhusu matumizi sahihi ya viwango vya umeme ukilinganisha na jirani yako ambaye umeme wake unakaa muda mrefu licha ya kuwa na matumizi yanayofanana, jambo ambalo linakufanya utumie gharama kubwa kununua umeme kila mara ili kukidhi mahitaji ya nyumba yako.

Hali hiyo inachangiwa na sababu mbalimbali za kibinadamu na kitaalamu ambazo zikiepukwa zinaweza kusaidia kuokoa gharama za kununua umeme wa ziada ambazo zingetumika katika shughuli zingine.

Hizi ndio sababu nne za kutofautiana kwa matumizi ya umeme majumbani:. Tabia za kibinadamu zisizofaa za matumizi ya umeme.

matumizi madogo ya umeme 2020

Zipo tabia mbalimbali ambazo zinachangia matumizi ya umeme kutofautiana kutoka nyumba moja hadi nyingine. Tabia hizo ni pamoja na kuwasha vifaa vya kielektroniki kama friji, feni, viyoyozi, pasi au televisheni bila kuvitumia.

Hapa ninazungumzia tabia ya baadhi ya watu kuacha radio au televisheni ikiwaka siku nzima na hakuna mtu anayesikiliza wala kuangalia. Haya ni matumizi mabaya ya nishati ya umeme katika nyumba yako, washa vifaa vya kielektroniki pale inapohitajika. Tabia nyingine ni kuziacha taa zikiwaka kwa muda mrefu hata katika nyakati za mchana ambapo jua linatoa mwanga.

Lakini wapo ambao wanawasha na kuzima friji na taa mara kwa mara. Fahamu wazi kuwa umeme unatumika zaidi wakati kifaa kinawashwa, kwahiyo kila unapozima na kuwasha unazidisha kiwango cha umeme kinachotumika.

Matumizi sahihi ya taa yanaweza kusaidia kuokoa umeme unaopotea katika nyumba. Picha Business Insider. Lakini tabia nyingine hatarishi kwa matumizi ya umeme ni kuweka vitu vingi kwenye friji kuzidi uwezo wake. Hii husababisha friji kutumia umeme mwingi kupita kawaida ili kupooza vitu ulivyohifadhi. Unashauriwa kuweka vitu kwa wastani ili kulipa uhai zaidi friji lidumu muda mrefu ujao. Kwa wanaotumia majiko ya kupikia ya umeme nao wanapaswa kufahamu kuwa ikiwa sufuria ni kubwa kuliko sahani plate ya jiko, umeme utakaotumika utakuwa mwingi zaidi ya sufria la kawaida linaloendana sahani ya jiko.

Mabadiliko ya tabia ni muhimu ili kuokoa umeme unaopotea kwa matumizi yasiyo ya lazima ambayo yanaweza kuepukwa na fedha zinazotumika kununua umeme wa ziada zitumike kwa shughuli zingine za maendeleo. Ukaguzi wa mifumo ya umeme ndani ya nyumba. Mifumo ya umeme katika nyumba isipokaguliwa na kufanyiwa matengeneza kwa muda mrefu inasababisha kukatika au kulegea kwa nyaya na viunganishi kama soketi, swichi. Hali hii husababisha umeme kupotea na matokeo yake mtu hulazimika kununua umeme mwingi kuliko matumizi halisi ya nyumba yake.

Pia fyuzi ya umeme ikikatika au soketi breka ikajizima, hahakikisha unamwita fundi kukagua kwa nini ilizima ili kubaini tatizo lililojitokeza. Tusiongeze vitu vinavyotumia umeme mwingi kama viyoyozi bila kuwahusisha makandarasi waliosajiliwa kuangalia uwezo wa mifumo yetu ya umeme kuhimili mzingo unaoongezeka.

Utajiri uliojificha ufugaji wa kuku wa kisasa

Fyuzi ya umeme ikikatika au soketi breka ikajizima, hahakikisha unamwita fundi kukagua kwa nini ilizima ili kubaini tatizo lililojitokeza. Picha Arrive Alive. Makundi ya watumiaji.

Kwa mujibu wa Tanesco, bei ya umeme inatofautiana kutokana na kundi la matumizi ya mteja alilopo. Wateja wa matumizi madogo ya nyumbani wanaotumia umeme wa majumbani ambao matumizi yao ni wastani wa kilowati 75 kwa mwezi wananunua umeme uniti moja kwa Tsh bila kodi endapo watazidi hapo kila unit watatozwa Sh bila kodi.Moja ya maagizo aliyoyatoa Waziri ni kwa watendaji wakuu wa TANESCO na REA, kuziwajibisha kampuni tatu za wakandarasi ambazo utendaji kazi wake hadi sasa uko chini ya wastani kwa mujibu wa mikataba yao waliyosaini.

Akifafanua, Waziri Kalemani alieleza kuwa, kampuni hizo tatu ni miongoni mwa kampuni saba ambazo zilibainika kufanya kazi chini ya kiwango na serikali ikatoa maelekezo kuwa zifanye marekebisho ya kuboresha utendaji wao ndani ya siku 14; hata hivyo ni kampuni nne tu kati ya hizo zilitimiza maelekezo husika. Sambamba na maagizo ya kuziwajibisha kampuni hizo zenye utendaji duni, Waziri alizipongeza kampuni tano ambazo zimefanya vizuri kwa kuvuka kiwango cha mkataba hadi kufikia sasa.

Alisema, kwa mujibu wa mkataba, wakandarasi wote wanapaswa kukamilisha kazi ifikapo Juni mwaka huu lakini kampuni hizo zimevuka lengo kwa baadhi yake kukamilisha kazi kwa asilimia hadi sasa, ikiwa ni miezi mitano kabla ya makubaliano na nyingine kufikia kiwango cha juu kabisa zikielekea kukamilisha kazi husika ndani ya muda mfupi ujao.

Maagizo mengine aliyotoa Waziri ni kwa kila mkandarasi kuhakikisha anakamilisha kazi katika eneo lake ifikapo Aprili mwaka huu ili miezi miwili inayosalia Mei na Juni itumike kukamilisha marekebisho madogo madogo kabla ya kukabidhi rasmi ifikapo Juni, Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu akizungumza na wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini, awamu ya tatu, mzunguko wa kwanza hawapo pichanijijini Dodoma, Januari 29, Sanjari na hilo, aliwataka mameneja wa TANESCO wa wilaya na mikoa pamoja na wahandisi wanaosimamia miradi husika, kuhakikisha ifikapo Februari 15, mwaka huu pasiwepo na nguzo iliyosimikwa ikiwa haijafungwa nyaya za umeme, pasiwepo na eneo la mradi lisilo na transfoma na pasiwepo na eneo la mradi ambalo wateja hawajaunganishiwa umeme.

Aidha, Waziri aliagiza kila mkandarasi kukabidhi Mpango-Kazi wake kwa uongozi wa TANESCO na REA pamoja na Wakuu wa Wilaya ambao unaainisha majina ya vijiji vitakavyounganishiwa umeme kila wiki, kuanzia sasa hadi mwezi Aprili, ambao ndiyo wa mwisho kwa kila mmoja kuwa amekamilisha kazi. Niwaombe Wakuu wa Wilaya mfuatilie utekelezaji wa kazi husika kama ambavyo taarifa itakuwa imeainisha. Katika hatua nyingine, Waziri alikemea tabia ya baadhi ya wakandarasi kutotekeleza kazi ipasavyo huku wakitoa kisingizio cha kutokuwa na vifaa.

Alisema, wakandarasi wanapaswa kufahamu kuwa ununuzi wa vifaa ni jukumu lao maana wote wamelipwa na serikali ili kuwawezesha kutekeleza kazi zao ikiwemo hiyo ya ununuzi wa vifaa. Vilevile, alitoa onyo kwa wapimaji wa miradi ya umeme surveyorshususan wale wanaokaa na fomu za wateja zaidi ya 10 kwa muda mrefu pasipo kwenda kutekeleza kazi husika, kuacha tabia hiyo mara moja vinginevyo watawajibishwa.

Waziri alitoa kalipio kwa mameneja wa TANESCO ambao kwa namna moja au nyingine wanaruhusu wananchi, hususan walioko maeneo ya visiwani kutozwa gharama kubwa za umeme na wazalishaji binafsi. Mkutano huo ulifanyika jijini Dodoma, Januari 29, Wakizungumza kwa nyakati tofauti, Waziri na Naibu wake walisema pamoja na uwepo wa changamoto kadhaa katika utekelezaji wa miradi ya umeme lakini kwa kiasi kikubwa watendaji husika wamekuwa wakifanya kazi nzuri sana. Tunahitaji sana ushirikiano wenu na kujitoa kwenu ili kwa pamoja tufanikishe azma ya Rais wetu Mheshimiwa Dkt John Pombe Magufuli ya nchi kuwa ya uchumi wa viwanda.

Sababu nne za kutofautiana kwa matumizi ya umeme majumbani

Mkutano huo ulifanyika Dodoma, Januari 29, Naye Kaimu Katibu Mkuu, Mhandisi Masanja aliwaasa wakandarasi husika kuhakikisha wanaongeza nguvu katika kukamilisha idadi ya wananchi wanaopaswa kuunganishiwa umeme kwa mujibu wa mikataba yao badala ya kuunganisha wananchi wachache na kuhamia kijiji kingine.

Veronica Simba — Dodoma. Search for:. Wasiliana Nasi. Barua Pepe. Mfumo wa Vibali. Ramani ya Tovuti. English Kiswahili. Wenye utendaji duni wawajibishwe Wakamilishe kazi Aprili, Wananchi visiwani watozwe bei ya umeme iliyopitishwa na Serikali Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani amekutana na wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini awamu ya tatu mzunguko wa kwanza na kuwapa maagizo mazito yanayolenga kuhakikisha mradi unakamilika kwa wakati na viwango stahiki.


thoughts on “Matumizi madogo ya umeme 2020

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *